Majina ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita Na Vikos Vya Jeshi la Kujenga la Kujenga Taifai Walivyopangwa

Hyo link yako haifunguk, check fresh km ipo sahih au tatzo ni kwangu
 
Naona wameifunga ila I have the copies najaribu kuziupload
 
Wakuu mnivumilie kidogo kabla siku haijaisha hii nitakuwa nishawawekea,kikubwa tu ni kuwa hadi vile vikosi ambavyo havikutumika kweneye Operation Miaka Hamsini ya J.K.T kama Mtabira,,Mafinga na Oljoro vimeingizwa now.

Ze Hb
 
Ze Heby uvumilivu umefikia tamat
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mnivumilie kidogo kabla siku haijaisha hii nitakuwa nishawawekea,kikubwa tu ni kuwa hadi vile vikosi ambavyo havikutumika kweneye Operation Miaka Hamsini ya J.K.T kama Mtabira,,Mafinga na Oljoro vimeingizwa now.

Ze Hb

angalia majina yaliyodownloadiwa hapa www.maswayetu.blogspot.com
 
Waokuu mnivumilie kidogo kabla siku haijaisha hii nitakuwa nishawawekea,kikubwa tu ni kuwa hadi vile vikosi ambavyo havikutumika kweneye Operation Miaka Hamsinii ya J.K.T kama Mtabira,,Mafinga na Oljoro vimeingizwa now.ooo
Ze
O Hb[/QUOTEoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…