poah mkuu,lakini jaribu kuingia hapo maswayetu.blogspot.com
JAMANI NAOMBA NIWAAMBIENI HIVI,MAJINA YA VIJANA WA KIDATO CHA 6,WALIOCHAGULIWA JKT YAPO HAPA FOR IT,WEB-HOSTING AND NEWS You are welcome maswa exclusive blogspot. AMBAPO WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA KAMBI YA BULOMBORA NIMEYAONYESHA YOTE HAYAITAJI KUDOWNLOAD,mwenye shida ani PM
Mwana kama unacopy plz naihitaji maana ninashida nayo pllllzzzz
Mkuu ninasubiri majibu nimeshaku pm.Natanguliza shukuran kaka
JAMANI NAOMBA NIWAAMBIENI HIVI,MAJINA YA VIJANA WA KIDATO CHA 6,WALIOCHAGULIWA JKT YAPO HAPA FOR IT,WEB-HOSTING AND NEWS You are welcome maswa exclusive blogspot. AMBAPO WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA KAMBI YA BULOMBORA NIMEYAONYESHA YOTE HAYAITAJI KUDOWNLOAD,mwenye shida ani PM
inasemekana co ya kwel is it true
poah mkuu,lakini jaribu kuingia hapo maswayetu.blogspot.com
n2mie hapa mkuu edonyanda@gmail.com,n2mie kambi zote if pocbleweka email yako,nitaku2mia
[h=3]UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI. KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI). VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE). INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA[/h]According ti JKT majina yamekosewa na pia yana postiwa upya kwenye www.jkt.go.tz sio ndani ya muda mfupi kwasababu ya kuwepo kwa kambi ambazo zimewekewa majina mengi kulingana na uwezo wake..
Mbna hiyo page ya names haifunguki
weka email yako,nitaku2mia