Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Joined
Mar 29, 2014
Posts
26
Reaction score
9
Jaman kama kuna mwenye tetesi kuhusu majina ya wanafunzi watakao jiunga na vyuo vya ualimu yanatoka lini naomba anijulishe,mahana nili2ma kama mwanafunzi wa prvt sijuhi nitashughulikiwa!!maana elimu ya tz daah!! MUNGU NISAIDIE!
Bonyeza HAPA kupata majina kutoka katika tovuti rasmi ya NACTE
 
Inawezekana ikatoka baada ya tarehe10, maana wizara imekaribisha maombi mapya ktk ngazi ya cheti kwa wanafunzi wanaotaka kuchukua ualimu wakiwa wanaendelea na masomo ya A level ktk shule maalum kwa miaka 3. Kila kitu tunamtumai Mwenyezi Mungu hivyo omba Mungu atakusaidia.
 
Njoo kigoma wilaya mpya ya buhigwe mim nije huko ulipo
 
Hizi taarifa zina ukweli % ngapi maana hamueleweki wapendwa
 
Zic iz our govnment! What we can do 4 govnment, so we are still waitin. Tumwombe MUNGU jamani.
 
mwaka huu hawatoi jk kasema shule za msingi zitafundishwa na degreee holder kuanzia mwaka kesho
 
Njoo bariadi nije morogoro

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nyie achen ushamba huo,, anzishen uz wenu wa kubadishana hivyo vshule vyenu,,hapa si mahali pake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…