majina ya wanafunzi waliopata mkopo udsm haya hapa

scopio

Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
47
Reaction score
5
jamani kinachotakiwa ni subra situnajua nchi yetu kwenye ishu ya teknolojia ni local
 
Sasa kaka/dada ndo umeandika nini? Kichwa cha habari na content haviendani.
 
Nyambaf kila siku naomba uongozi utuwekee button ya KWENZI hawataki, wapuuz kama hawa wamekua wengi sana
 
Agghrr kunawatu wanaboa kweli,unaandika headings za magazeti ya udaku humu.Heading nyingine habari nyingine
 
Nenda facebook ndugu yangu hapa Jf umepotea njia
 
We utakuwa first year una mbwembwe za UDSM.
 
da kweli waafrika xijui 2takua na akili nzuri lini hasa we jamaaaaaaaaaaa cjui ume2pia nn xaxa
 
Jaman msamehen bure,m2 wa w2 hajui lipi alitendalo coz ni new member,karibu jf jaribu kutulia kabla ya kuanzisha thread kaka coz hapa watu wanatakiwa wapate hbr motomoto za elimu zisizo patikana maeneo kama facebook nk,i beleave ww ni great thinker utakuwa umenipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…