Majina ya Wanafunzi wanaojiunga na Vyuo vya Afya 2014/2015 haya hapa

Bora wewe mkuu umetusaidia maana kuna mamwinyi humu ndani eti wanataka email sijui wanataka kutongoza watoto wa watu? Hebu pokea like kwanza..
 
msaada anayejua jinsi ya ku confirm ....maana nimeona jina but haliko confirmed!!!
 
Je kama mtu hakuchaguliwa kuna altenative nyingine labda ua ku-apply tena au kuna second selection?..msaada tafadhali
 
msaada anayejua jinsi ya ku confirm ....maana nimeona jina but haliko confirmed!!!

Nenda kwenye Profile yako kwenye website ya NACTE utakuta option ya ku-confirm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…