Majina ya wanaume ambao hutakiwi kudate nao


Majina yote ni ya Waarabu na Wazungu, hakuna ya Kimatumbi?
 
Mimi naitwa Mbororii mbona jina langu halipo hapo....Naona majina ya kizungu
 
Hapo kwenye hiyo list nimedirty na majina 6 [emoji14] [emoji41] ila ktk hayo Moja tu ndiyo la kweli
 
BASHITE
 
Mm langu ni unique.. halipo kwenye list.
Lakim kwenye jina la Frank ni kama kweli vile
 
Mimi ata uorodheshe mpk 1000 kangu kamwe hutolipata maana la kibantu.
 



cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…