Elections 2010 Majina ya wapiga kura kwenye vituoni yaingia dosari

collezione

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
352
Reaction score
178
Jamani uku kwetu morogoro, majina yetu hayapo kwenye vituo vya kupiga kura mbaya zaid tumeletewa majina ya ndugu zetu marehemu...na kuna watu wengine majina yao yametokea kwenye kituo zaidi ya kimoja
tukilalamika kwa wawakilishi wa nec,
wanasema hawawezi kubadili, tumechelewa. Na wakati majina yamebandikwa jana....je hii ni haki kweli?
 
Ripoti mara moja kwa makao makuu ya Chadema hapo ulipo.......na kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo lako..............Usiwajulishe CCM wataona hicho ni kivuno..............
 
Jamani sio morogoro tu, ata iringa, mbeya..yani kote ni balaa tupu.
Ccm mwaka huu watasababisha vurugu
 
hao marehemu mliwaliport nec?kama majina yako yako sehemu 2 piga sehemu moja
 
... Tulijua tu kuwa NEC hii ya wazee ambao hata hiyo Computer kwao ni kikwazo watatufikisha pabaya.
 
vilaza watupu wale wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…