majina ya wasichana

ambili

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
243
Reaction score
15
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI

Kama unayajua mengine unaweza ongezea
 
kibwengo
ngifi
sweetheart
tunda
kimeo
 
Ya wanaume.
Kenge
mamba
jibwa
poyoyo
mbwiga
buzi
kidumu
..... Nitaendelea b'dae.
 
hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. Demu
2. Mlupo
3. Shori
4. Kishtobe
5. Manzi
6. Sista duu
7. Sketi

kama unayajua mengine unaweza ongezea

8. Kicheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…