Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
jaluo_nyeupe rudi hapa uokoe jahazi lenu linazama.
mafataki.
Majangili.
chavichavi
vinganganizi[/QUOTE]
we lazima muhaya
hapa ni men vs women ila kweli naona waanzisha mada wamesepa. Mi na hili hapa moja la kwenu KIKONGWE = binti asiye na mvuto.
vinganganizi[/QUOTE]
we lazima muhaya
ushapwerewa
shaibu= babu lililozeeka.
Kuna majina sijayaona hapa labda niulize tu,Hivi hakuna wanaoitwa vibajaji,k-mkononi na cha wote?
kol boksi = mdada anayegawa kwa kila men.
kol boksi = mdada anayegawa kwa kila men.