MAJINA YA WASIOKAMILISHA APPLICATIONA TCU See the Attachment

MAJINA YA WASIOKAMILISHA APPLICATIONA TCU See the Attachment

MKL

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
126
Reaction score
77

Attachments

Mkuu kama status zako bado zinasomeka unprocessed hapo inakuwaje? mfano mie kwenye hiyo list simo lakini status yangu ndiyo hiyo. Msaada mkuu
 
Hawa ndo wanatucheleweshea selection.
 
Mkuu kama status zako bado zinasom hiia unprocessed hapo inakuwaje? mfano mie kwenye hiyo list simo lakini status yangu ndiyo hiyo. Msaada mkuu

hiyo sio ishu cha muhimu ni kwamba jina lako limo au halimo kwenye list hii....? kuelewa nako ni matatizo kwa WTZ wenzangu sijui...., hebu soma uzi wangu vizuri nimesemaje kwani swali liko nje ya nilichokisema sana tuu, List hii ndio wanahusika ambao hawajakamilisha maombi. kwa sasa status za walioomba woote zinasomeka hivyo kama yako. kwa maana kwamba process iliyofanyika ilikuwa ni kutoa makapi ambao hawakukamilisha mlio kamilisha maana yake subirini tuu mmepangwa wapi swala la status hebu achana nalo inaweza ikakaa hivyo mwaka mzima..... ni ushauri wangu tuuu.
 
Asante Mkuu, ingawa umeanza kwa kunikandia kama form I, lakini nimekuelewa.
 
duh!!nimeangalia wako kama 425,sijui walioko village kama hata wana taarifa.
 
duh!!nimeangalia wako kama 425,sijui walioko village kama hata wana taarifa.

kwakweli utaratibu huu wa CAS ni tatizo sio kwa wa vijijini tu hata yule alieko mjini ambae anategemea kwenda cafe nako ni tatizo tu.Ili kumudu vizuri hii system ni mtu uwe na computer yako mwenyewe.

Sasa natapata wasiwasi kuhusu hii selection maana kama kuna watu mpaka leo hata selected program hazionekani ina maana majina ya waliochaguliwa tusitarajie yatoke hivi karibuni.Kwasababu hawawezi kutoa majina wakati kuna wengine wanatakiwa wajumuishwe na taarifa zao bado hazijakamilika.

Athari ya mambo haya ndio hata mikopo itakuja kuchelewa.
 
Ina maana hawa jamaa wenyewe hawajachaguliwa mpaka saa hzi,maana me nijuavyo selection ziko tayar?
 
Dah yan mpaka mwez wa huu tarehe 31..hawa jamaa ndo wana tuwekea giza...aahghghghgh!!!!
 
hii ndo inatakiwa. Sio mtu tu anakurupuka eti TCU wametoa selsction, alafu hizo selection hazionekani, mkihoji anajibu, "baba yake rafiki yangu ni lecturer UD, kaja na CD home" Hiyo inawasaidia nini wana jamii?
 
Back
Top Bottom