hiyo sio ishu cha muhimu ni kwamba jina lako limo au halimo kwenye list hii....? kuelewa nako ni matatizo kwa WTZ wenzangu sijui...., hebu soma uzi wangu vizuri nimesemaje kwani swali liko nje ya nilichokisema sana tuu, List hii ndio wanahusika ambao hawajakamilisha maombi. kwa sasa status za walioomba woote zinasomeka hivyo kama yako. kwa maana kwamba process iliyofanyika ilikuwa ni kutoa makapi ambao hawakukamilisha mlio kamilisha maana yake subirini tuu mmepangwa wapi swala la status hebu achana nalo inaweza ikakaa hivyo mwaka mzima..... ni ushauri wangu tuuu.