Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
jaman hakuna namna ya kunisaidia kuangalia jina la Boniface jacob,Gray Mbalikila na Evelin Mlokela.
10868 S0487/0078 Boniface Jacob Lukuwi Madunda Kapangiwa -Mwakaleli HGK
4865 S0108/0060 Gray Mbalikila Ifunda Tech. Kapangiwa - WDMI CIV
S1875/0025 Evelyne Stone Mlokela Ishimwe Alikopangwa-Bwiru Girls CBG
Mwajei nisaidie kujua hawa watu wamechaguliwa wapi.Ngereja khamis,issa yassin,edwin paul,chankoo hamis,na masudi peter wote wamemalizia kalangalala secondary namba ya shule ni s.0706 namba zao sina tafadhali mwajei msaada wako unahitajika sana.
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
ngoja nikusaidie