Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

Mwajei naomba masudi peter amesomea kalangalala sec. Namba ya shule s.0706
 
naomba wakuu mniangalizie s.2292/0073 na s.2292/0043
 
Mkuu mwajei naomba unichekie hawa madogo.. Dina Munyu na Seti Munyu wamemalizia Kihonda sec .
 
Last edited by a moderator:
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.

Mwajey wewe ni mtu mmoja na nusu.
Nashukuru sana kwa kuwapatia watanzania hii access.

Pili umesaidia sana kuwajibu watu.

Kama unaamina kuna Mungu basi umebarikiwa sana.


List ya akina dada vipi.


Umenifanya nizidi kuipneda JF
 
Naomba kama kuna uwezekano mtu apost matokeo kwa njia isiyo ya PDF maana kwa simu ndogo kama yangu hyanaingia kama short cut
 
wakuu naombeni mnisaidie hawa Ramadhan shaban,Issiaka yasini na Methew b colman.Namba ya shule ni s1369.
 
Naomba mtu yeyote anisaidie kujua hawa wafuatao wamepangwa wapi?
Wote ni wa shule moja S4567 Sacred Heart.
1.Witness kahesi
2.Elifrida justus
3.Liberius M libent
4.Albertus Kauta
5.Alisteus kalumuna
6.Agripina Martine
7.Highness K Emmanuel
8. Sharifa Bruhani
9.Albert Kisanga
10.Steven Severine
11.Marina Martine

NITASHUKURU SANAAA.
 
Nashukuru sana kaka, ila me naona dpf kama haiwi downloaded na kufunguka.
vp naomba uniangalizie wanafunzi 10 wa Sacred Heart S4567
 
nisaidie kutafuta boniface m luoga, namba ya shule ni s3993.
 
Msaada hapa Adriana Nemes shule alosoma ni D'Alzon sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…