Jamni naombeni msaada kuna majina yaliotoka loanboard kuwa hayajawekwa viambatanishi jina langu nipo wameniandikia cheti cha kuzaliwa wakati nilikua affidavity jamani affidavity is inatumika badala ya cheti cha kuzaliwa? Manake mimi sina cheti cha kuzaliwa na nasikia inachukua muda kupata cheti deadylne nasikia tarehe 30