Jamni naombeni msaada kuna majina yaliotoka loanboard kuwa hayajawekwa viambatanishi jina langu nipo wameniandikia cheti cha kuzaliwa wakati nilikua affidavity jamani affidavity is inatumika badala ya cheti cha kuzaliwa? Manake mimi sina cheti cha kuzaliwa na nasikia inachukua muda kupata cheti deadylne nasikia tarehe 30

Mdau wameniambia kwa kuwa nimezaliwa dar natakiwa nikachukulie huko ama nitoe hela mara mbili kinatumwa dar! Nikachukulie huko so bora niende tu dar
ni hati itolewayo mahakamani au kwa wanasheria akiwepo mtu yeyote atakaye shuhudia kuwa ulizaliwa kama taarifa zilivyoandikwaaffidavity ndo nn?
hawa jamaa wamazidi kuongeza problems aisee" zilikuwa 5 mara saiv 6
duh!
kwan kama ukienda kufatilia chet cha kuzaliwa wanataka nn cha muhimu
duh me naona bora hata ninyi,hapa kuna mtu wangu ameambiwa hakuweka signature na anatakiwa kwenda dar na tulivyo mbali mmmh,itakuwa noma,hata cjui itakuaje,cjui kwa nini hawajasema watume application upya kuliko kwenda dar