denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
MmmmmmmmWema,Irene,hamisa,Lulu,Rose,Shilole
Hiyo quote ni ya zamani sana but nimeprove wrong maana nimegundua siyo woteMmmmmmmm
AiseeFelister na Anna wee acha tu
Said ukitoa herufi i linakuwa Sad! Hivyo hawa jamaa huwa sio mazoba ila ni sadness kimtindoWakin SAIDI wapole sanaa halafu hawanaga tabia mbaya hata kidogo kwanza ni wacha mungu halafu watulivu hadi wanakuwa wajinga .
N.b
Ninarafiki yangu hadi namuona kama zoba sasa manake ni mpole balaa sjajua inasababishwa na nini hii kitu.
Mbona happy mnamsingizia Sana'a?Allicia,Neema,Happy,Lucy,Mariam,Suzy,Rose,Grace na Halima hawa ni wazinzi kwa kuzaliwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hapo kwenye Mage na Mariamu umegonga mule mule,hao beki hazikabi kabisa.Mage
Mariamu
Felister
Anna
Mnisamehe sana wenye haya majina
Nitake radhi tafadhali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kelvin,frank,emma,khamis,salum
Halafu hao wakina Felister wanafiga bomba hatari bila kusahau Chura wa Kihansi.Felister na Anna wee acha tu
Wewe ni Felister au Anna?Aisee
Emu nipe experience.... Mbona mie mpole?
Ashura, fatuma, mariam, etcNi majina gan yamekaa kiuzinzi,vicheche?..yaani ukilisikia tu unajua huyu ZOA ZOA ..
Excuse me....Kelvin,frank,emma,khamis,salum
Mojawapo
Tena mwajuma ukute mtu anamuita MWA.J (mwa jei)Asha
Mwajuma
Jenni
Jack- hawa ni wazinzi kwenye mtandao,
Hao wa juu ni wazinzi na uswahili umewajaa sana.
Wanavaa sana madera alafu wanayachomekeaga kwenye vyupi.Tena mwajuma ukute mtu anamuita MWA.J (mwa jei)
bwana bwana kina mwa jei ni fire moto shigidaaaa
jina haliwezi elezea tabia ya mtuHiyo quote ni ya zamani sana but nimeprove wrong maana nimegundua siyo wote
Sent using Jamii Forums mobile app