Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

Kwa Marry Japo nakazia ni cheche hatariiii Hawa viumbe...

Sabrina sioni wakitajwa au mmewasahau hawa ni wale wasiojua kukataa ..

Glory na wenyewe sio haba



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wenye majina ya kienyeji wako poa maana naona majina kutoka ubeberuni ndio yamepamba moto.
 
Nawakumbusha tuu! WAZINZI NI WATU WANAOFANYA TENDO LA NDOA BILA KUFUNGA NDOA......Haya uzi uendeleee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…