Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia umeruhusu majina yaliyokuwa saved wapi yawe displayed kwenye hyo device yako, cz kuna device nyingne zinakupa mtumiaji option ya majina yapi yawe displayedHabari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
Case closed! Iliwahi kunitokea.Angalia umeruhusu majina yaliyokuwa saved wapi yawe displayed kwenye hyo device yako, cz kuna device nyingne zinakupa mtumiaji option ya majina yapi yawe displayed
Change password and log out email address yako,yule mwenye device nyingine hawezi tumia bila new password.Tnx Kwa mawazo wadau,, contact to be displayed ilikuwa ok,, option ya Chen Hu imenisaidia email yangu inatumika Zaid ya device moja yalikuwa deleted nimeyarestore yamerudi,, zaidi nataka nitafute namna ya kumfungia matumizi ya email yangu katika device nyingine japo Yuko mkoa tofauti.