Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch


Naomben kuuliza wandugu inamana hao watakao kuta majina yao wenyewe hawez kua selected jumatatu
 
1417 ni wale ambao hawakufanya any selection. lets wait tar 22 majina ya waliochaguliwa yatatoka.
 
Imani gideon

Iman Gidion S.L.P 23 Kintinku. Ndugu yangu Imanmull jina lipo na nimelikopi kama lilivyo hapo,

Nenda kwenye Profile yako ukaapply tena, kama walivyokuelekeza NACTE.
 
1417 ni wale ambao hawakufanya any selection. lets wait tar 22 majina ya waliochaguliwa yatatoka.

Sio tu hiyo Mpatanishi, we hakiki jina lako kwanza ndipo ujiridhishe."They did not finish their application processes due to various reasons".
 
mkuu haya majina yaliyotoka udom mbona hayana kozi inakuwaje
 
mkuu haya majina yaliyotoka udom mbona hayana kozi inakuwaje

mbona hatuyaoni hayo majina yaliyotoka UDOM kwenye hiyo website ya NACTE? hebu tutumie tittle ya hayo majina.
 
majina niliyoyaona ni yale wanaokwenda ualim udom na vyuo vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…