Majina yanayoongoza kuwa na IQ kubwa hapa JamiiForums

Majina yanayoongoza kuwa na IQ kubwa hapa JamiiForums

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Habari wana jf wote.

Katika kuhakikisha Tz inakuwa nchi ya uchumi wa viwanda niliamua kufanya tafiti zangu humu jf tangu mwaka 2008 hadi 2018.

Katika tafiti zangu ilikuwa ni kubaini watu wenye IQ ndogo na wenye IQ kubwa.

Sasa katika tafiti hii nimegundua watu wenye IQ kubwa ni wenye majina yanayoishia na JR kama vile Emok Jr , watu hawa kwanza ndo wenye mada za kueleweka hapa jf yani hakuns jr aliye kilaza.


Pia wale wenye IQ ndogo hawa ni kuanzia 0.5 - 20 ni wasio na majina ya JR.

Povu sio ruksa pinga kwa hoja, Nimemaliza.
 
Kale mihogo ya kuchoma. Njaa na ukata vitaleta mawazo hasi
 
kwa huo utafiti wako, unanikumbusha usemi wa Mzee Lowasa kuwa tatizo la watanzania walio wengi ni - Elimu...Elimu...Elimu!!!!
 
Back
Top Bottom