Katika kuhakikisha Tz inakuwa nchi ya uchumi wa viwanda niliamua kufanya tafiti zangu humu jf tangu mwaka 2008 hadi 2018.
Katika tafiti zangu ilikuwa ni kubaini watu wenye IQ ndogo na wenye IQ kubwa.
Sasa katika tafiti hii nimegundua watu wenye IQ kubwa ni wenye majina yanayoishia na JR kama vile Emok Jr , watu hawa kwanza ndo wenye mada za kueleweka hapa jf yani hakuns jr aliye kilaza.
Pia wale wenye IQ ndogo hawa ni kuanzia 0.5 - 20 ni wasio na majina ya JR.