Kenya wanatumia sana hii. Ninadhani wapo sahihi. Kama unajiona una jina moja, mbona unataja majina zaidi ya moja ukijitambulisha? Wao wanaona unataja zaidi ya jina moja, hivyo, wingi unahusika.Wakuu, kumekuwa na tabia ya jamii kutumia sentensi "kwa majina naitwa" au "majina yangu ni" kila kunapofanyika utambulisho. Naomba kujuzwa kama hii ni sahihi ama la. Tena hata kwenye vyombo vya habari hili limekuwa jambo la kawaida kabisa ingawa binafsi sikuwahi kufjndishwa hivyo.
Mimi nina jina moja na jinhine la baba yangu na kama nitakwenda mbele zaidi kuna jina la babu. Ni kama anwani ya makazi. Naomba ufahamu wenu wakuu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk