Majina yapi yaliyopendekezwa viti maalum UKAWA

Majina yapi yaliyopendekezwa viti maalum UKAWA

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge.

Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na kilichotokea ni upendelea kwa watoto,ndugu,jamaa,wachumba na mahousegirl wa viongozi kupewa nyadhfa.

Mwaka huu kazi hii amepewa nani?
 
Heading haiendani na contents, over!
 
Tuko kwenye kampeni habari ya viti maalum ni baada ya oct 25
 
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge.

Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na kilichotokea ni upendelea kwa watoto,ndugu,jamaa,wachumba na mahousegirl wa viongozi kupewa nyadhfa.

Mwaka huu kazi hii amepewa nani?

2010 cdm ilipata wabunge saba kanda ya ziwa lakini ikaambulia viti viwili tu, kanda ya kaskazini ilipata wabunge watano ndo ikazoa viti maalumu lukuki. Cdm wanatuona kanda ya ziwa kama punda wa kuwaingizia madini, mwaka huu hawapati kitu.
 
Gamba linaacha ya ndani kwake kazi kuchunguza ya Jirani, mtanyooka tu mwaka huu.
 
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge.

Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na kilichotokea ni upendelea kwa watoto,ndugu,jamaa,wachumba na mahousegirl wa viongozi kupewa nyadhfa.

Mwaka huu kazi hii amepewa nani?

Na wewe unataka kiti mkuu
 
👉JK NYERERE 1995:

MPNZANI WA KWELI ATATOKA CCM

👉JK NYERER 1995:

CHAMA KITAKACHOPUUZA MAONI YA WANANCHI KITAPATA KILIO ASIPATIKANE WA KUKIFUTA MACHOZI YAKE

👉JK NYERERE 1995:

MSIDHANI MNAWEZA KUPATA USHINDI MKIPUUZA MAONI YA WANANCHI MSIKAE NA KUTEUA WENYEWE MKADHANI MNACHAGUA KATBU WA CHAMA MNACHAGUA MTU WA KUONGOZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ.

👉MKAPA 2013:

MSIKOSE KIONGOZI BORA 2015 KWA TUHUMA ZA KIPUUZI

👉KINGUNGE 2015:

LOWASSA ALIONEWA SANA KATIKA SAKATA LA RICHMOND HANA KOSA HATA KIDOGO TANGU AANZE UONGOZ MWAKA 77 NDANI YA CCM

👉KARUME 2015:

UKINIAMBIA NKUTAJIE MTU MWENYE VGEZO VYA KUONGOZA TANZANIA KWA SASA NI LOWASSA PEKEE ANAWEZA KUSAIDIA KULIKOMBOA TAIFA HILI.

👉LIPUMBA 2015:

LOWASSA SIYO FISADI NDIYO MAANA CCM WALIKOSA USHAHID WA KUMFIKISHA MAHAKAMAN

👉TUNDU LISSU 2015:
LOWASSA NDIYE MWANASIASA ANAYEKUBALIKA NCHINI NA NDIYE HUYO ANAWEZA KUSAIDIA KUIONDOA CCM 2015

👉TB JOSHUA:

LOWASSA IS A COMING PRESIDENT OF 2015

👉MCHUNGAJI:

LOWASSA ASIPOKUWA RAIS 2015 MNIUE

👉KAKOBE:

MUNGU ANASEMA CCM WASIPOBADILIKA 2015 WATAANGUKA.

👉JAKAYA MRISHO KIKWETE 2015:

CCM MWAKA HUU INAWEZA KUNG'OKA

Kwa hisani ya kichinjio october 2⃣0⃣1⃣5⃣👇

👉💳💳💳💳💳💳👈
Kauli zenje Nguvu✌
 
Dah!! hivi hii JF ya siku hizi ikoje? kweli imevamiwa, yaani mtu analeta mada, heading na kilichopo ndani ni tofauti kabisa!!!kulikoni jamani?
 
Mwaka huu ndo watauna maana kuchagua viti maalum itakua mtihani mzito ukizingatia idadi yake inategemea na kura za mgombea Urais. Kuna uwezekano vyama kugeukana na wasipogeukana kuna vyama vinaweza kufa CUF, NCCR, NLD itatakiwa viti maalum wao wachukue kadi za chadema kwanza
 
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge.

Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na kilichotokea ni upendelea kwa watoto,ndugu,jamaa,wachumba na mahousegirl wa viongozi kupewa nyadhfa.

Mwaka huu kazi hii amepewa nani?

We list ya nini?
 
Jingalao ni lile lile mbele kwa mbele linaacha kinyesi nyuma
 
2010 cdm ilipata wabunge saba kanda ya ziwa lakini ikaambulia viti viwili tu, kanda ya kaskazini ilipata wabunge watano ndo ikazoa viti maalumu lukuki. Cdm wanatuona kanda ya ziwa kama punda wa kuwaingizia madini, mwaka huu hawapati kitu.

Dada/mama zako walijitokeza kuomba nafasi wakanyimwa? Siyo wapo wapo tu hata shule hawakuenda unataka wapewe viti maalumu. Hata maana ya viti maalumu hao dada/mama zako wanaijua? Dunia ya Leo inataka watu wenye uelewa na uthubutu. Sasa dada/mama zako wanachunga ng'ombe na kukamua maziwa huko tuwape viti maalumu...ebo!!!
 
Back
Top Bottom