Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 772
- 2,421
Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu.
Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye maeneo hayo kwa siku za nyuma.
Unakuta kuna eneo linaitwa USALAMA, DAMPO, MADUKA MAWILI n.k ni kutokana na sababu maalumu.
Leo naomba kufahamu, nini kilisababisha Njia ya mtaroni kupewa jina la mtandao wetu pendwa. Kwanini haikuwa jina jingine?
Na kabla ya mtandao wetu pendwa kuwa na jina hilo, zamani jina lipi lilitumika?