Majina yoote ya waliochaguliwa TCU haya hapa

Majina yoote ya waliochaguliwa TCU haya hapa

Status
Not open for further replies.

saggy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
153
Reaction score
70
Salamu sana wadogo zangu!

Nawaletea majina ya walichaguliwa TCU kwa mwaka 2011/12

NB:- Kwa wale wadogo zangu Group B ,hamjawa allocated Mkopo toka HESLB but endeleeni kujaribu kufuatilia
-Kumbuka kuwa na Adobe Reader kwenye Kompyuta yako
-Bado naendelea na zoezi la kuyafanya yaweze kufunguka kwenye Ms.Word

Poleni wadogo zangu ambao hamjafanikiwa kuchaguliwa na ninawaomba msikate tamaa kwakuwa bado ni wadogo anzeni kwa kozi za Diploma na mjiendeleze mpaka badaye mtapata sifa za kujiunga na Vyuo ziku zijazo kama mimi kaka yenu.

Mimi kaka yenu Saggy.
 
Attachments

Sasa bro imekuaje lakn wamekosa mkopo wanafunzi wengi hv? Ilishawahi kutokea k2 kama hcho?
 
Hili file halifunguki..... ama ni computer yangu ndio ina tatizo?
pdf.gif
Group b_L-M.pdf‎ (3.94 MB, 28 views)
 
Mi nauliza tena vip walofanya re-selection of prgms majina yao yamo kweli? Au ndo yamekaushwa.
 
Salamu sana wadogo zangu!

Nawaletea majina ya walichaguliwa TCU kwa mwaka 2011/12

NB:- Kwa wale wadogo zangu Group B ,hamjawa allocated Mkopo toka HESLB but endeleeni kujaribu kufuatilia
-Kumbuka kuwa na Adobe Reader kwenye Kompyuta yako
-Bado naendelea na zoezi la kuyafanya yaweze kufunguka kwenye Ms.Word

Poleni wadogo zangu ambao hamjafanikiwa kuchaguliwa na ninawaomba msikate tamaa kwakuwa bado ni wadogo anzeni kwa kozi za Diploma na mjiendeleze mpaka badaye mtapata sifa za kujiunga na Vyuo ziku zijazo kama mimi kaka yenu.

Mimi kaka yenu Saggy.
hapo kaka umetusaidia sana maana kule kwenye web yao ku-access ni ngumu sana ila kwa hapa hakika umetuwezesha sana.
 
Mdogo wangu,bado mpaka tarehe 31/09/2011 ndipo majina yoooote yatakuwa yametoka,nitawajulisha wadogo zangu watakaokuwa wamechaguliwa,uwe na subira mdogo wangu
 
Wadogo zangu wale wenye Categor ya '' Science'' na'' Education'' mtapewa kipaumbele wakati wa kupata mkopo katika awamu zijazo,kwa wale wadogo zangu ambao mumeandikiwa ''NON PRIORITY'' kwakweli kuna uwezekano mkubwa msipate kabisa,lakini bado nawasisitiza msikate tamaa,enedeleni kufuatilia hadi kielewekee.
 
Mie nimekodoa macho nikidhani ni selection ya mwaka 2012/2013
 
Hii si busara. Comments zote na post zote za last year. Usifanye utani na watu wakati huu.
 
Sasa naona vijana wamepata angalau mwanga watarehe ni kuanzia 31/8 mpaka 2/9 kwa hiyo tulize vi roho vyenuu msifosi mda uwahii
 
Majina ya waliochagulia TCU kwa mwaka 2011-12 lts us be serious jaman!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom