Majina

Majina

Mfano uko na vidole vitano unaitwa Magamba au CCM je ukitolewa kidole kimoja utabadili jina na kuitwa ChinjaChinja au CUF?

Kwanza vidole mtu mara nyingi huwa ana jumla ya 10 mikono yote
 
Tatizo langu ni ,mtu mwenye vidole sita kila mkono.Naomba kujua jina mwafaka .
 
Huwa ni extra finger inaota mostly on the small finger inaitwa polydactyly
 
Asante kwa hilo jina la kiingereza.
Jina linalofaa la kiswahili ndilo tatizo kwangu.
 
Lile jina mwafaka ni
"kidoledole" wingi ni vidoledole.
Yaani jina analopewa mtu mwenye vidole sita vya mkono.
 
Hili jina 'Kidoledole' nimelisikia leo.Bw mmoja anayefanya utafiti wa kiswahili ndiye aliyeniambia.
 
Back
Top Bottom