Jini mahaba
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 151
- 39
Majini tumeingia jamii foram
hodi hodi jf jini nimewasili toka ujinini
Naomba mnipokee japo mimi sio mwanadamu kama ninyi ila mimi ni jini mwema mwenye mahaba na binadamu natokea salenda bridge napenda marafiki binadam n-pm kama unataka kua na urafiki na majini kama hutunipenda mimi nitakuunga nisha na majini wengine