Hivi Pdidy nowadays ndiye uliyerithi mikoba ya the late Sheikh Yahya?Kama movie vile shikamoo dira sasa nahisi kuiamkia shikamoo
JAMIIFORUMS
BAADHI YA MAJIPU NAHSI MITANDAO INASAIDIA KUTUMBUA NA HABARI ZA USIKU HUU KUWENIWAPOLE MAJIPU KADHAA KUTUMBULIWA NDAN YA SIKUHIZI MBILI
YETU MACHO SIO NDIO ASBH NGOJA TUPAMBANE SINZA NA HAWA.MAJANGILI WANÀOKULA PESA ZA WANAUME BARABARANI
Mwenyewe umemwita Pdidy mtabiri, sasa iweje tena awadokezee? Yaani mtabiri akudokezee si atauharibu utabiri wenyewe?Hivi Pdidy nowadays ndiye uliyerithi mikoba ya the late Sheikh Yahya?
Maana naona bandiko lako limekaa kiutabiri tabiri zaidi.............
Hata hivyo siku 2 si nyingi, let us wait and see kuona utabiri wa Pdidy unatimia......
Hata hivyo ingekuwa vyema ungetudokezea kidogo hayo majipu yanayotarajiwa kutumbuliwa siku 2 hizi.