The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Habari zenu ndugu zangu?
Naombeni ushauri juu ya kupatwa na majipu ambapo sasa ni mara ya tatu ninapatwa na majipu kwa muda tofauti. Hapo kabla sikuwahi sumbuliwa na majipu. Lakini sasa ni mara yangu ya tatu kupatwa na majipu sehemu tofauti tofauti.
Je nifanye nini ili nisipatwe na hali hii?