Majipu

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
378
Habari zenu ndugu zangu?
Naombeni ushauri juu ya kupatwa na majipu ambapo sasa ni mara ya tatu ninapatwa na majipu kwa muda tofauti. Hapo kabla sikuwahi sumbuliwa na majipu. Lakini sasa ni mara yangu ya tatu kupatwa na majipu sehemu tofauti tofauti.
Je nifanye nini ili nisipatwe na hali hii?
 
Kuna daktari mwenye PhD ya chemistry yuko pale Magogoni, ni mtaalamu sana wa kuyatumbua.
Sa hiv tuko maabala tunatengeneza majipu yenye gama rays so mwambie ajipange Na aitumie PhD yake Ili ahakikishe anayatumbua kwa usalama..!!
 
Kunywa maji meng angalau kuanzia Lita tatu kwa siku! Utaona mabadiliko ndan ya siku kadhaa.
 
Mkuu hao watakulia pesa zako Tu,coz weng hawajui sabab... Unaweza ukajtib mwenyewe ukiwa nymbani.. Kwa nnavojua mm n kwamba majb n moja ya mechanism ambayo htumiwa Na mwli katka kuondoa taka mwili hasa zenye sumu ambazo hushindwa ktoka kwa njia za kawaida...kwahiyo kuepkana Na lilo unashauliwa kupenda kufanya mazoez Ili sumu hzo ztoke Na jasho pia hayo maj meng utajayo knywa yatasaidia kusafsha mwili Na kuuweka katka hali yake ya kawaida...KWA HIYO MKUU PENDA MAZOEZ KUANZIA SASA...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…