Majira ya leo imevunja ukimya

Benno

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2009
Posts
332
Reaction score
51
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
 
Sina gazeti hapa unaweza kudokeza kilichoandikwa?
 
Jamani si utuambie hiyo habari, wengine na magazeti mbali mbali ndo maana tunabanana humu JF
 
Mhh makubwa ngoja tuangalie nitarudi
 
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii
Benno...

this post is very low, yaani umeandika ukiwa very short sighted... unadhani kila mtu anakaa ulipo?? au ana access ya kila info??

Dah, i hope this was just a
 
MTM chukua gazeti basi hapo mtaani utuambie Benno alichoshindwa kutuambia....!
 
Lizzy,

Nipo kimanzi siku ya pili leo nalima serikali wanataka kuchukua udongo wangu, yani hata vocha ya email nimeomba kwa rafiki

si ndio maana nikaboreka na benno, yaani anadhani wote twaishi saigoni
 
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii

ukimaliza ile homework uje kumalizia.
 
Lizzy,

Nipo kimanzi siku ya pili leo nalima serikali wanataka kuchukua udongo wangu, yani hata vocha ya email nimeomba kwa rafiki

si ndio maana nikaboreka na benno, yaani anadhani wote twaishi saigoni

Namwona mmiliki wa thread hapo chini sijui atatufikiria atupe habari nzima!!

BTW pole kwa kutaka kutendwa naserikali ya magamba!!!
 
kaka tujuze basi wengine sie tunasoma gazeti utando tu...hayo hardcopy tulishayasahau....
 
Ukurasa wa 20 gazeti la majira leo. Limeweka wazi ule mkakati wa matangazo. Soma upate kujifunza kama kijana wa jf unayetarajia kuingia kwenye hatua hii

Benno una roho ngumu sana yaani pamoja na kilio chote hiki umekula pini tu, hutaki kutoa hata heading.

Au ulitaka kuanzisha kamjadala ili usikilizie, kama ni kweli utakuwa na element za sadism.:smile-big:
 
Mkuu hebu tueleze ni kipi kilichojili,mimi nipo Benghazi nasaidiana na wana Mapinduzi, sina access na hilo gazeti.
 
Hujatenda haki sisi wa mpitimbi gazeti tutatoa wapi?! Tuwekee bana

sogea hapo Litapwasi dada ama Namanditi utapata gazeti ha ha ha ha umenikumbusha mbaliiiii mpitimbiiiii
 
<br />
<br />
Ha ha kwa sasa niko Kumbinga Kindimba aka Kitunda gazeti wapi na wapi huku bana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…