Majiraaaaani naenda raundi ya tatuuiiii hukuuu.kumbatia mkeeee sio unakumbatia mtoo

Bookkeeping

Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
75
Reaction score
169
Naenda raundi ya tatuuiiii na wife vp wewe huko
Huyu mwanamke nitamuua
 
Vijana wa Fesibuku wamevamia Jf
 
Demu yupo kamaliza form four juzi tu hapa
Haya mkuu nyetuka tu usivunge mi na lala mkuu USIKU mwema, pambana na Uzi wako raia wsmeugomea🤣🤣🤣🤣 usijifanye kunipigisha stori tusukume kurasa pambana mwenyewe 🤣🏃🏃
 
Namna inavyopaswa kuwa... Mpaka unamuoa mkeo, unapaswa kumjua kiundani. Na mke anastahili mzunguko mmoja tu wa kibabe. Ratio ni 1:3-6... Mwanaume unatakiwa upige 1 tu. Na sio vitatu kama kuku
 
Namna inavyopaswa kuwa... Mpaka unamuoa mkeo, unapaswa kumjua kiundani. Na mke anastahili mzunguko mmoja tu wa kibabe. Ratio ni 1:3-6... Mwanaume unatakiwa upige 1 tu. Na sio vitatu kama kuku

Kimoja chali kama jogoo
 
Juzi tu hapa alikuja na uzi wake wa kutafuta binti wa chuo. Ndani ya siku mbili tayari ana mke. Mweh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…