Majirani Karibu Wajipate Kwa Khashoggi Moment: Pumba Waandika Tweet Kwenye Account Ya Mwanahabari Kwa Kiingereza Kibovu

Isiwe wewe ni baadhi ya wale maafisa walioandika upuuzi huo. Yaani kweli kuna mtu mwenye akili anayeweza kusema eti "We are released" ni informal communication? Naamini hata vibaraka wa CCM watashindwa kutetea hili

Kumbuka kuwa Afrika Kusini ina wazungu aina mbili: Waafrikana na Waingereza. Huyu alikuwa Mhariri wa gazeti la the guardian halafu unasema eti informal communication ya "God is great we are released going back to our hotel?" Kweli bongo lako limelala
 
Isiwe wewe ni baadhi ya wale maafisa walioandika upuuzi huo. Yaani kweli kuna mtu mwenye akili anayeweza kusema eti "We are released" ni informal communication? Naamini hata vibaraka wa CCM watashindwa kutetea hili

Teh teh teh tihiii
bwana mdogo I'm not here to argue with u. if English for u is everything that you can stand for basi keep on being myopic.
but i can't figure out if in the end the twit will be proved to come from the genuine source. ndipo utakapo jua education without exposure is equal to 1 take away 1.
 
English si Kila kitu; ila mnapojaribu kufake, msifanye kama ujinga wa Khashoggi kisha muanze kusema eti ohh, Serikali haikuhusika. Tayari twiter washafunga account hiyo na wale mazuzu walijaribu kuingia kwenye email yake wakashindwa.
 
r u sure dat is a fake account!!!?
 
r u sure dat is a fake account!!!?

Yaani hata kiswahili kinakushinda? Kwani comprehension mulifunzwa nini shuleni? PoliCCM walitumia twitter account ya Quintal na kuandika ujumbe kwa lugha mbovu. Familia ya mwandishi huyo ikajua kuwa ujumbe huo ni wauongo na wakatahadharisha watu. Baada ya uchunguzi kufanywa, Twitter walifunga account ya mwanamke huyo kwa kuwa walijua iko chini ya PoliCCM na si mwanahabari huyo. Baada ya hapo, ilifamamika kuwa kulikuwa na failed attempts za kuingia kwa email yake. Ni nini hujaelewa?
 
Wakikujibu kuhusu hii hoja yako nitag mkuu

Hao wakenya wakae watulie ...

Wao wakipigwa na kuuliwa na wazungu ndiyo wanaita democracy
 
ovu la nini?

Teh teh teh tehiii

ongea kwa vituo.
 
Wakikujibu kuhusu hii hoja yako nitag mkuu

Hao wakenya wakae watulie ...

Wao wakipigwa na kuuliwa na wazungu ndiyo wanaita democracy

Hamna haja nimjibu eliakeem kwa kuwa haalewi kinachojadiliwa humu. Shida si kumkamata mtu ambaye amevunja sheria. Ikiwa ni kweli kuwa watu walikuja na tourist visa na hawakuwa na work permit, basi hapo walikosa. Kwa kweli, hata mi hukerwa na jinsi hizi NGOs hupenda kusema "rule of law" ilhali wenyewe sheria za nchi hawafwati.

La pili, hapakuwa na haja ya kuenda TZ kufanya mikutano haya, kwani kwa technolojia ya sasa, kujua kuwa waandishi wa habari TZ wanaona moto hakuhitaji kusafiri.

Mada wa uzi huu ni mmoja: kwanini mliwakamata kisha kuandika kwa twitter account yake kuwa ameachiliwa? Nia ilikuwa nini? Kuwauwa? Na ikiwa hivo ndivo makachero wenu walikuwa wamefikiria, hawaangeeza wakatafuta mtu anayeweza kuongea au kuandika vizuri kwa kingeereza ili upumbavu wao usijulikane? Hamjajifunza kwa Khashoggi?

Kutokana na haya yote, TZ ndio imepoteza. Kumbuka hawa watu wanapenda mashoga; na ingawa mlisalimu amri kwa mzungu na kusema kufirana ni haki ya mtu, bado hawajatosheka. Sasa hivi, ndio nyinyi hao kwa wanahabari wa CPJ.
 
Hasira za nini jombaa, hiyo shughuli sio wakenya wameifanya, si ni wale wale ambao huwa wanafanya tafsiri kwenye bongo movie? [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Write your reply...
hii ndo tz bhana hatushobokei rangi ya ngozi ukileta udunya tunaku-squeeze kwanza, unaomba kibali cha kutalii we unaleta ufukunyuku..
 
Hasira za nini jombaa, hiyo shughuli sio wakenya wameifanya, si ni wale wale ambao huwa wanafanya tafsiri kwenye bongo movie? [emoji1][emoji1][emoji1]

Ahaaa haaaa haaaa
dont derail the uzi mazee,
talk about the wanahabari waliokamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…