Majirani na watani zetu kabla kututambia kumiliki daraja lefu Afrika, rekebisheni haya yanayosababisha adha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko

Mkuu acha hizi
Hii ni Mother Nature umesahau mafuriko yalitokea kwenu huko watu wakapoteza maisha May their Souls RIP
Haya ni maisha ya watu umesikia kwenye video mtu analalamika kujua ni mtoto
Ongeza Utu kidogo
Kuna mambo ya kubeza lakini sio matukio kama haya
 
Aliyeweka hii thread ana mtindio wa akili maana kwenye clip kunaskika machines zikifanya kazi kujenga daraja linalookena kwa nyuma baada ya daraja la awali lililojengwa 1930 kubomoka September na December hiihii linajengwa jipya!

Mkuu acha hizi
Hii ni Mother Nature umesahau mafuriko yalitokea kwenu huko watu wakapoteza maisha May their Souls RIP
Haya ni maisha ya watu umesikia kwenye video mtu analalamika kujua ni mtoto
Ongeza Utu kidogo
Kuna mambo ya kubeza lakini sio matukio kama haya

Mbona unashika hamaki wakati nawasilisha kilio cha ndugu zenu, wala sijabeza sehemu, nimeiweka kama ilivyo, hivi umeitazama hadi mwisho, yaani watu wanasombwa hivi hivi tu live na kujifia mbele halafu unakuja kutetea, hehehe nyie watu.
Nimesema Afriika bado sana, kutambia watu kwamba mnamiliki daraja lefu kuzidi zote Afrika na hizi ndogo zimewashinda kuboresha inaonyesha mnavyoshindwa kuchambua vipau mbele.
 
Jameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko

mkataa kwao mtumwa... marekani, philipines, europe, south africa....wote hao wamesombwa na mafuriko sehemu tofauti tofauti mwaka huu huu. Pamoja na miundombinu yao bora, lakini wamesombwa.
 
Afrika hapa mvua ya siku mbili tu basi.
 
I used to have the same exact issue my whole life in my neck of the woods until 3yrs ago when the county govt fixed it.

My heart goes out to those people
 
Back
Top Bottom