Mkuu acha hiziJameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko
Video mbona aionyeshi weka jina lake uoneJameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko
Mkuu acha hizi
Hii ni Mother Nature umesahau mafuriko yalitokea kwenu huko watu wakapoteza maisha May their Souls RIP
Haya ni maisha ya watu umesikia kwenye video mtu analalamika kujua ni mtoto
Ongeza Utu kidogo
Kuna mambo ya kubeza lakini sio matukio kama haya
mkataa kwao mtumwa... marekani, philipines, europe, south africa....wote hao wamesombwa na mafuriko sehemu tofauti tofauti mwaka huu huu. Pamoja na miundombinu yao bora, lakini wamesombwa.Jameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko