Covenant-1015 Member Joined Jun 22, 2014 Posts 28 Reaction score 8 Jun 10, 2016 #1 Majirani bwana Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo Ila sasa aingie MWIZI hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni *ShenzyType*[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Majirani bwana Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo Ila sasa aingie MWIZI hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni *ShenzyType*[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 1,775 Reaction score 1,011 Jun 10, 2016 #2 Kwi kwi kwi kwiiiiiii