Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu vipi.
Majirani zetu Uganda wanamzuka sana na Electric Vehicles na Hybrids. Kuonesha mzuka wao, serikali ikaona itoe kodi (zero tariff) kwenye EV, E-Bikes na kupunguza kwenye hybrids kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Huu msamaha ukapelekea gari za EV zilizoingizwa UG kwa mwaka 2023/24 kufika 420 ukifananisha na gari 26 tu kwa mwaka uliopita 22/23.
Lakini kuna msemo unasema masikini akipata, matraaako ulia mbwata. Mainjinia wao wa budget wakaona wanapoteza sana pesa. Kwa mwaka wa fedha 2024/25 wameona warudishe tu gharama za kuingiza gari za umeme, ambayo ni takribani 25% ya gharama za manunuzi.
Mfano, kurudisha huku kumepelekea gari kama Nissan Leaf (katika Motocare Uganda Showroom) iliokua inauzwa Ush 204 Million kuja kuuzwa Ush 255 Million.
Tukumbuke wenzetu Uganda, wana maono na EV ndio maana serikali inamiliki kampuni ya kutengeneza (kuunda sijui? IDFK) magari ya umeme imayoitwa Kiira Motors Cooperation ambayo according to maelezo yao wametuuzia Mabasi ya BRT ya umeme (ingawa nadhani hayajaanza kazi), pia wamewauzia Nigeria, SA, na Eswatin.
Huu uwe ujumbe wa watoa maamuzi wa kodi TRA na wizara usika kwamba watu kununua Hybrid wanapenda ila ndio ivyo tunaogopa kodi anytime kubadirika.
Asanteni.