Majirani wa kike sometimes hawasomeki.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.

Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa design hii unashindwa kumuelewa anataka nini nimekutongoza umenikataa nimepata demu unacatch sasa ulitaka nikae kinyonge bila kuosha rungu acheni hizo.
 
Ok sawa tushajua nawew una uwezo wa kuchakata papuchi..
 
🫩🫩🫩🫩

Ukifahamu tabia za majirani hasa kwenye hizi apartment za huku, hakikisha ndani kuna vinywaji vyao pendwaa mbona utafaidi
 
Savanna, brutal beer, sex on the beach, amarula, Pinot Noir, La Marca Prosecco zipo nyingi tu mkuu akikisha kuna manyama nyama kwenye ndani mazaga ya kishua.. mbona utawapasua usisahu ukutani curve moja matata nchi za kushato
Hatoki mtu kwa mkapa
 
Jirani yako alijiona Pipi, muache sasa ajilambe.

Be a Man, next time usilale na mwanamke ambae ni Jirani yako, Mfanyakazi mwenzako ofisini, Mfanyakazi wako.

Achana na hao wanawake kwa ustawi wa Afya yako ya Akili na Mwili.
 
Hao hawakutaki ila wanakuweka kwenye shortlist siku wakizidiwa halafu hawana option, wakutafute.

Sasa ukileta pisi kali unakuwa umeivuruga shortlist yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mu approach tena , utanishukuru badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…