Nairobi hiyo, Mombasa leo hii Shell, maeneo ya Makupa, Petrol nimepata wanauza KES142, Diesel sikumbuki vizuri nadhani ilikuwa ni 123. Ile shortage ya wiki kadhaa zilizopita ilikuwa ni 'artificial' kweli, lakini hizi bei mpya sio za kupendeza, hasa kwa SME's.