MAJIRANI ZETU WA 254 TUMESIKIA SUPERMRAKET ZENU ZINAWAUZIA NYAMA CHAFU CHAFU

Aaaaaahhhh ndugu yangu ukienda nairobi,kaa mbali na nyama,unaweza kujikuta umekula nyama ya mbwa au paka...
Kuna jamaa pale Mathare alikuwa anapika samosa za nyama ya ngedere,mbwa,panya au nyau hata kunguru,yaani nyama itakayopatina kwa siku hiyo,ndo huwapikia wateja
Tahadhari

Usile nyama ukiwa nairobi!!😆😆
 
think I am a vegetarian
oh na bora ume underline kbs ...... KEBS wana lala sanaa ndio maana bidhaa za kenya zikifika mpaka wa namanga kuingia tz zina teketezwa hii sio mara ya kwanza kusikia vitu vibovu vinauzika sokoni huko kwa majirani zetu...last time nilisikia kuhusu mayai fake sijui sukari fake ....why you continue to tolerate stupid things while you can manage it ....these are just minor things to manage..come on kenyans
 
Aaaaaahhhh ndugu yangu ukienda nairobi,kaa mbali na nyama,unaweza kujikuta umekula nyama ya mbwa au paka...
Kuna jamaa pale Mathare alikuwa anapika samosa za nyama ya ngedere,mbwa,panya au nyau hata kunguru,yaani nyama itakayopatina kwa siku hiyo,ndo huwapikia wateja
Tahadhari

Usile nyama ukiwa nairobi!!😆😆
Unaongea kwa uchungu kwani ulikula nyama ya panya? Pole sana
 
Aaaaaahhhh ndugu yangu ukienda nairobi,kaa mbali na nyama,unaweza kujikuta umekula nyama ya mbwa au paka...
Kuna jamaa pale Mathare alikuwa anapika samosa za nyama ya ngedere,mbwa,panya au nyau hata kunguru,yaani nyama itakayopatina kwa siku hiyo,ndo huwapikia wateja
Tahadhari

Usile nyama ukiwa nairobi!!😆😆
Na nyie si ndio mnawachinja albinos kupata nyama za uchawi aise? Si huu ni unyama kwa binadamu mwenzako alafu unakuja hapa to lecture us?
 
Yeye anaelezea nyama isiyo na ubora.
Wewe unaleta sijui issue gani!! Kama ni hivyo anzisha uzi.
 
Back
Top Bottom