Ndugu wana jf,salaam! Ninaomba nijaribu kueleza kwa kina tatzo kubwa tulilo nalo kwa wanafunzi wetu haswa vyuo vikuu
-wengi wao hawana uelewa wa mambo meng ktk taaluma zao,
-asilimia kubwa hujivunia vyeti ie GPA zao
-weng wako mitandaoni muda mrefu hawana ubunifu.
-kaz yao ni kujivunia vyuo vyao bila kuonesha output kweye jamii walzotoka kias ambacho hamna differentiation
-hulia hulia na waliao zaidi badala ya kutatua matatizo ambayo ndo tafsiri ya elimu
-hupenda kusikia wanachokipenda
-hukesha kwene mitandao kwa kupiga umbea umbea
Tufanyeje?
Kwa mawazo yangu tubadilike tujenge utamaduni wa kujifunza kuliko kujivuna kwa tusichonacho...najua ntaambulia matusi lakin ctojali..ni ruksa kwa wale ambao ni tabia..
Tusaidie jamii kwa kuwa watatuz wa matatizo notably kujenga ajira mpya..