Majivuno ya vyeti na Tanzania tuitakayo

Stany

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
277
Reaction score
42
Ndugu wana jf,salaam! Ninaomba nijaribu kueleza kwa kina tatzo kubwa tulilo nalo kwa wanafunzi wetu haswa vyuo vikuu

-wengi wao hawana uelewa wa mambo meng ktk taaluma zao,

-asilimia kubwa hujivunia vyeti ie GPA zao

-weng wako mitandaoni muda mrefu hawana ubunifu.

-kaz yao ni kujivunia vyuo vyao bila kuonesha output kweye jamii walzotoka kias ambacho hamna differentiation

-hulia hulia na waliao zaidi badala ya kutatua matatizo ambayo ndo tafsiri ya elimu

-hupenda kusikia wanachokipenda

-hukesha kwene mitandao kwa kupiga umbea umbea

Tufanyeje?

Kwa mawazo yangu tubadilike tujenge utamaduni wa kujifunza kuliko kujivuna kwa tusichonacho...najua ntaambulia matusi lakin ctojali..ni ruksa kwa wale ambao ni tabia..

Tusaidie jamii kwa kuwa watatuz wa matatizo notably kujenga ajira mpya..
 
Mtu anashinda mitandaoni kila siku kubishana na watu and still anatudanganya yeye engineer, ana 1 ya12 form four na 1 nyengine 6 na ana kazi nzur,hv engineer kweli unapata muda wa kushinda humu?maana si Mara moja moja kila muda yupo online
 
Mwngne fb had saa tisa ucku afu anachelewa job kisa fb
 
wamekusikia.
 
good ideas,nimetoka kusema hik hik kwenye thread moja ambayo watu wanajivunia vyuo na koz walizosoma badala ya kupeana mawazo yakibunifu tukikkwamue kimaisha tunasemana
 
good ideas,nimetoka kusema hik hik kwenye thread moja ambayo watu wanajivunia vyuo na koz walizosoma badala ya kupeana mawazo yakibunifu tukikkwamue kimaisha tunasemana

Ni kweli kabisa unachosema. Kuna groups kwenye hii mitandao daily ni kusengenyana na kutoana makosa badala ya kujengana, kuleta new ideas kujikwamua kiuchumi.... Still wanna expect maisha yao yabadilike....
 
post kama hzi usishanga ikatolewa mapema,..utaskia ooh mimi nina gpa ya 4,ooh natafta ajira wakat ametoka sua amesoma kilimo na anataka aajiri wkt tuna ardhi bikira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…