njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naam It' another day another dollar kwa wapigaji wa jamhuri ya Tozonia, mambo ni bull bull sana,lete maneno dj kama kuna zilizopigwa tutafidia na za tozo bwana weeee, tozo oyeee
Gazeti la juni 2022 miezi miwili iliyopita wadanganyika washasahau kila kitu kimepita its business as usual majizi yanasikilizia deals nyingine tena
Gazeti la juni 2022 miezi miwili iliyopita wadanganyika washasahau kila kitu kimepita its business as usual majizi yanasikilizia deals nyingine tena