njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hii ni zaidi ya wizi sasa..ENOUGH IS ENOUGH..!!!hadi accounts za watoto savings accounts zinakatwa TOZO ILI MAJIZI YAFANYE YAO
wanakata mkuu ni hatari sana kuweka fedha benki kwa sasa, hatari kubwa mnooHii ni zaidi ya wizi sasa..ENOUGH IS ENOUGH..!!!
wanakata mkuu ni hatari sana kuweka fedha benki kwa sasa, hatari kubwa mnoo
wnaa enjoy sana wanatawala manyumbu, ikifika uchafuzi anko mahela anafanya yake, wengine wanafoji signatures za vyama vyao wanatinga bungeni kuendelea kufaidi tozo za wanuka jasho wasio na akiliWacha waibe tu taifa lina mijitu heathen,waoga,mazuzu,nyumbu,walalamikaji, masikini wa mwili mpaka akili.
Wajanja kuleni pesa za wajinga mpaka akili ziwakae sawa watambue kupigania mali za umma.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na watu wakipiga kelele wafuasi wa chama Cha fisiemu huwa ona wapinga maendeleo na wanatumiwa na mabeberu Sasa sote wenye vyama na tusio na vyama tunaisoma namba vizuri kabisa taifa limejaa myopic citizenswnaa enjoy sana wanatawala manyumbu, ikifika uchafuzi anko mahela anafanya yake, wengine wanafoji signatures za vyama vyao wanatinga bungeni kuendelea kufaidi tozo za wanuka jasho wasio na akili
Onyesha ylivyopigwaNaam It' another day another dollar kwa wapigaji wa jamhuri ya Tozonia, mambo ni bull bull sana,lete maneno dj kama kuna zilizopigwa tutafidia na za tozo bwana weeee, tozo oyeee
Gazeti la juni 2022 miezi miwili iliyopita wadanganyika washasahau kila kitu kimepita its business as usual majizi yanasikilizia deals nyingine tena
View attachment 2329216
Tulia majinga ya tanganyika yakamuliwe mavi, na hayana la kufanya...kwani cag akionyeshaga nini kinatokeaga?Onyesha ylivyopigwa
Mpaka Za Watotohadi accounts za watoto savings accounts zinakatwa TOZO ILI MAJIZI YAFANYE YAO