Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Kusaga ndio boss wa domo. Domo hajajifikisha hapo alipo bila Marehemu Ruge na Kusaga
Hakuna binadamu aliyefika hatua ya juu kwa kujipandisha yeye mwenyewe from the scratch bila kushirikiana na wengine. Huhitaji elimu ya Havard kulijua hilo.

Hata mimi na wewe kuna watu wali sacrifice muda wao/mali zao ili tuwe hapa tulipo.
 
Mkuu unajifariji tu,pengine wasingebaniwa kama unavosema wangekuwa Juu zaidi ya sasa,hauwezi kushindana na media,hao hao waliokupandisha ndio wanaokushusha! Kutochezwa kazi za WCB katika hizo media zinamuumiza jamaa yenu sema kinachompa kiburi ni hizo fedha za youtube,ringtones,matangazo tu........Show jamaa yenu anapiga za hapa na pale.
 
Ana tabia gani mbaya zinazo tofautiana na wasanii wengine?
Umejuaje kawasahau watoto wake?

Matendo hata mama yake alikiri kukatazwa kuonyesha anawapend.. haswa kwa kuwarusha Instagram ikambifi apite mlango wa nyuma kuwasiliana nao kwa kuibia. Ulipitwa nini!!!!
 
Yule Mond ni jini. Hawajaweza,hawawezi na hawataweza kumshusha
 
Tatzo wamekutana na msanii genious,walikua wanaburuza wale wengine wanavyotaka plus umwinyi/mangi meza.Ila sasa wameshikwa pabaya sanaa
 
toka enzi zile za mwanzo wa fiesta za kurushia chupa za mkojo na rambo za mavi huwa siendi kwa msanii yeyote,ila huyo ni simba na akitaka kula nyama hashindwi,hapo geita juzi tu katua walokole walikuwa kwenye mkutano wa injili ,wakati wa PA wote wakaisha kwenye mkutano na kumkimbilia simba.ukiacha hilo kaulize ambulance imeokoa wanawake wangapi waliozimia baada ya simba kupanda stage hapo desire park.Jeshi la polisi mjini geita lilibidi lichukue FFU kutoka mji wa katoro na kasamwa ili kuimalisha ulinzi.
 

mjini kuna mambo

Kusaga ndio mmiliki wa wasafi na ndio mmilliki wa clouds!!!!!!!!!

Pata picha game limewekwaje hapo?


akili tu, wenye mahaba kama wewe wanajaa upande fulani

hao wengine diamond ana kiburi, unachosema ni mwanamke akiwa mzuri ila malaya. ukubaliane nae tu kwa sababu akienda kila kona anaitwa?? una akili wewe?
 
Aisee walokole walikimbia mkutano wao...kukimbilia mambo ya kidunia...hakika baadhi ya walokole ...hawajui lengo lao... really they don't know their course.....
 
Dawa Ni kumuua diamond tu ...

Kama hawezi hilo basi Ni kazi Sana yule mtoto Ana upepo was Hatari sana
Mbali na mabaya, mapungufu na mazuri yake ila napenda ile spirit yake ya moving forward with courage and clear vision, kwa upande wangu ili ni jema ambalo vijana wanatakiwa wawe nalo.
"Ukiwa masikini huwezi kuwa gentleman, huwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala" (Fid Q' verse)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…