Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Unajua wasafi tv na radio mke wa kusaga ana share kiasi gani?,au unazungumza tu?
 
Diamond Platnumz ni mfano wa vijana wahangaikaji,anachotufundisha katika maisha ukiona mlango mmoja umefungwa tafuta mlango mwengine na si kulalamika.Dunia ya sasa hivi kuna platforms kibao za kutangaza mziki wako,swala ni ww mwenyewe kuja na mpango mkakati wakutumia hizo platforms vizuri ili uendeshe mambo yako.
 
Kumuonyesha tena! Kwani yeye hajui kama ni mzee wake?[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Dunia ya leo magazeti tu hatununui,, hata hizo radio hatusikilizi, mambo yote Youtube
Na huu ndio ukweli, mi binafsi sisikilizagi radio, huwa naangalia TV hom na updates nyingi napata online, hilo la radio liliwezekana kipindi cha Dudubaya na Mr. Nice sio zama hizi.
 
Si ndiyo maana huna hela[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Good analysis nakubaliana na wewe, hivyo la msingi ni kumsaidia kama wadau na kama taifa afike pale anapostahili ili tujivunie vya kwetu, after all yeye ameonyesha njia kinachotakiwa kuwa supported kwa kile anachokifanya. Hao wakina Davido, kiss Daniel na wengine hawasimami tu wenyewe kama mizimu wapo supported mahali.
 
Unapomfungia mtu asisikike Radioni au Kusomwa Magazetini kwa zama hizi Haumpunguziii kitu zaidi utakua umefanikiwa kumtenga na sehemu tu ya mashabiki wake (just a part) ila bado kuna sehemu kubwa sana bado anaweza itumia kama njia.

Siku hzi naweza maliza Mwezi sijawasha Tv pale home,naweza maliza Miezi sijasikiliza Radio,magazeti ndio sikumbuki lini nilinunua gazeti...lakini najua each and everything through online...Mtu kama mimi Hawajaweza nitenga na Diamond hao maboss zako.

Kwa level aliyopo sasa hivi DIAMOND mtu yeyote ATAEFURAHIA ANGUKO LAKE huyo namuona kama hajielewi,Diamond sasa hivi Kabeba TAIFA..kina Rick ross,kina Jayz,kina Chriss BroWn huko walipo wakiuliza wasanii wakubwa kutoka Tanzania Wanatajiwa DIAMOND.

Sasa kwanini mfurahie anguko la DIAMOND?? ifike wakati sasa hivi Tanzania tuwe kitu kimoja kama wananchi,tuuungane kuwa wazalendo wakupeleka nchi mbali,sio kuamuliwa na akili na watu wachache wakiamua Ujinga basi nasisi wote tuufate.

Diamond ni identity ya Taifa letu kimuziki upende usipende utake usitake,kufurahia anguko lake that means umefurahi Tanzania inapokosa Muwakilishi kwenye Matuzo makubwa makubwa kama BET AWARDS.

Hivi kwenye Tuzo kama BET mtu kama diamond anapochuana na kina Chriss brown mnajua Faida tunayopata watanzania?? mnajua kiasi gani tutafaidika endapo atamshinda Msaniii wa kule?? Nadhani bado tuna endekeza akili za kina Ruge,majizo na hao EATV.

Kila mtu ana madhaifu dunia ya leo ila inapofika swala la TAIFA inatakiwa tuweke tofauti zetu pembeni tusimame kama TAIFA,hili tatizo sio kwa diamond tu hata team za mpira unakuta SIMBA inacheza na Misri ila yanga wote wanashangilia Misri,shenz type.

Haya sasa mnachokitaka mtakipata,Diamond hatodumu milele ataanguka muda wake ukifika halafu tutaona nyie mnaotaka anguko lake mtapata faida gani,kaeni mkijua hata aanguke leo haturudi maisha yakula ugali na maji ya chumvi au supa dip Haipo hiyo.

Endeleeni kumwombea mabaya ila pia msisahau kuna wanaomwombea MEMA as long as anawakilisha nchi ninayoishi.
 
kuna watu wanasema kashashuka kimataifa amebaki east Africa tu..kashaondoka kwenye ligi na kina davido SO what?? umefaidika nini tangu diamind aporomoke kwenye hizo ligi?? kama kuna ulipofaidika chochote nadhani una haki zaidi ya kufurahia anguko lake hata hapa Nchini maana utafaidika mara dufu...
 
Inaonekana wewe Ni Ex wake Daimond siyo kwa povu Hilo aisee.

Kwann binadamu hatupendani??
 

siku hizi labda ublock internet hizo redio watu walishatoka kama zama za cd
 
Tunajua unapenda kumsifia.. ila kwanini haumfunzi abadilike awe na tabia nzuri pia.

Wale wanawe huko SA ndio kawasahau kabisa au hana pesa ya kukaa hata hotelini?
Huyo Diamond amefanya nini kwa hao wanawe zaidi ya kilichofanywa na Zari kama inavyofanywa na wanawake wote wapumbavu kwamba ugomvi wao wanauchomeka hadi kwa watoto?! Nimegundua Hamisa msichana mdogo ana akili za kiutu uzima kuliko Zari mtu mzima vinginevyo, vinginevyo, sijui unatafsiri vp hatua ya Zari kum-unfollow Diamond kwenye Insta accounts za watoto wake!!

Au labda unatakiwa kukumbushwa kwamba watoto wa Zari kwa mwanaume mwingine wanaishi na kunya kwenye nyumba ya Diamond kama ulikuwa hujui wajibu unaotekelezwa na Diamond!!
 
Nitajie msanii proper aliyetoka kwa kupitia nguvu ya social media in recently..
Na huu ndio ukweli, mi binafsi sisikilizagi radio, huwa naangalia TV hom na updates nyingi napata online, hilo la radio liliwezekana kipindi cha Dudubaya na Mr. Nice sio zama hizi.
 
EVIL MINDS, EVIL DECISION, EVIL THOUGHT, SLEEP WAKE UP ALL THE DAY THINKING OF BEEFING, THINK OF MORONIC THOUGHTS, CHILDISH OBSTACLES WHILE YOU ARE AN ADULT IT IS A SIGN OF MENTAL HEALTH PROBLEMS TO OVEREXCEED IN YOUR COMMON MEDULLA OBLONGATA, A SIGN OF CRANIAL FAILURE.
 
Mi nilivyogundua kuwa mtoa mada ni MWANAMKE basi huwa sijipi shida sana na mada zake..
 
Sababu ni roho mbaya
 
Mi nilivyogundua kuwa mtoa mada ni MWANAMKE basi huwa sijipi shida sana na mada zake..
Asante sana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
thanks but re read the thread......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…