Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Nitajie msanii proper aliyetoka kwa kupitia nguvu ya social media in recently..
hatoweza kukujibu maana media zina nguvu sana sana......
 
Hata mimi nashangaa sana.........
 
Kumbe na kwenye udaku upo!
 
Sasa hao wengine wanao wapigia nyimbo zao kila siku mbona hawawafiki wakina DIAMOND na kumzidi?
 
Kwan bro Una mwona Diamond ni yule yule,Diamond cyo msanii wa kushushwa bin vuu inahitaji muda,zile views za you tube zisiwadang'anye Watz ila Diamond kashashuka amebaki anatamba hapa hapa nchin na Kenya,Siyo diamond tu kashuka Bali mziki wetu wa kibongo umebaki unapumlia mipira kwenye soko la kimataifa.
 
Nini kifanyike na wakati Watanzania hatupendani na huyo anayetuwakilisha kimataifa wanamwombea njaa ashuke.
 
Hayo ndiyo matokeo ya kumzalisha mwanamke na kuingia mitini halafu unaanza kuwakebehi single mother. Humu kuna thread nyingi sana zinazowakebehi na kuwadharirisha single mother. Wengine inafikia hatua wanawaambia wanawake wakatoe mimba.
Kama wewe hukuonesha heshima, upendo na kutoijali familia yako nani atakuheshimu? Hapa wengi ndiyo wanafeli sana. Ingekuwa hivyo basi shetani naye angesamehewa na Mungu. Unajua kwanini hakusamehewa?
Katika dunia hii kuna mengi mtoto anapitia aliyetelekezwa baba. Huyo baba Diamond kwani ana mtoto mmoja tu Diamond? Na kwanini aje kipindi amefanikiwa na siyo kipindi kile yupo kwenye msoto?
MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI. ALICHOKIFANYA DIAMOND KIPO SAHIHI KABISA. USITAFUTE HURUMA KWA JAMII WAKATI WEWE HUKUWA NA HURUMA NAO.
 
yes...pia na wewe upo
CCM wanaroho mbaya sana. Wameua uchumi wa nchi na sasa wameingia kwenye muziki. Si mfanye kama Tundu LIssu tu au mtume watu wasiojulikana maana ccm huwa hashindwi hata kama ukiishinda itakutafuta hata kwa bunduki
 
Mbosso na Lavalava.
Unataja wasanii waliopo chini ya mwavuli wa diamond tu..

Na lavalava unajua alitambulishwa kwa mara ya kwanza wapi??..ni kwenye redio, Clouds Fm..leo unasema ametokea mtandaoni,how??

Unaweza kutaja wengine tafadhali??

Acheni ku-underestimate the power of radio kwa kudhani kila kitu kinamalizwa mitandaoni..Wasafi FM ilianzishwa ili iwasaidie wasanii kutoboa(kwa kuwanukuu waanzilishi) na mwanzilishi ni yuleyule aliyesema media sio kitu chochote kwenye muziki wake..
 
Clouds wasenge sana na Huyo majizo boya tuu, wanataka wasanii wao wa kaskazin ndo wasikike, wasanii hawana uwezo, ni mibange tu na kiki za kifala, mi hapa nilipo naombea anguko la Clouds na si vinginevyo, nguzo moja ya Clouds ishadondoka, na nguzo kuu ya EATV ishadondoka, namsubiri msenge majizo....
Uhalisia tu ni kuwa Mond kateka soko, hata vijijini huko wanapiga nyimbo za WCB, sa hv kuna local radio nyingi sana kila wilaya na Mond anacheza Nazo vizur sana, tukija kwenye social media ndo kabisa anakimbiza vibaya ovyo,
Dala dala zote zinacheza nyimbo za WCB tuu, wanaochoma nyimbo wanachoma za WCB mostly, mtaani ni vurugu za WCB mpak wakome, hao Clouds, EFM na EATV wakae na makopo yao studio akina Whozu, Nady, Weusi, Jux, van money, na akina dogo njanja, pamoja na watangazaji mashoga...
 
Sasa hao wengine wanao wapigia nyimbo zao kila siku mbona hawawafiki wakina DIAMOND na kumzidi?
Mkuu kuna siri nzito sana ku_rise kwa Diamond kipindi cha awamu ya 4,tuyaache yapite mkuu,kwasasa jamaa yenu anatembelea nyota tu ya zamani,kama tungekuwa tunachora graphs ungeona jamaa anashuka,alishafika peak kwa sasa anashuka,sema kwa TZ hatuna vitu vya kupima performance za wasanii kimuziki.
 
Nilipokuwa mtoto nilielezwa kuwa kuna watu hupaa angani,wachawi wanapaa kwa ungo,
Baadae nikaja elewa wachawi ni pamoja na wewe unayetaka mwezio aanguke na una husda ya kutaka kuona anadondoka.
 
Hivi Diamond alisema ile shoo alipata sh. Ngapi aliozunguka na helcopter, maana kukodi alitumia 30m na watu walioingia uwanjani hawazidi 2000 na kiingilio kama kilikua 10000 inamaana alipata 20m babu tale atoe yake, fela atoe yake na saalam atoe yake na madancer wapewe sijui atakua amepata faida kiasi gani kwa watu wanaokwenda na number
 
Umaarufu alioupata Dai kipindi kile umemsaidia aendelee ila hakuna atakaempeleka mbele kinidhamu kimafanikio na kiubunifu zaidi ya hapo alipofika.
 

Una ushahidi wowote waliingia watu elfu 2?.Wale wadhamini unazani walidhamini nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…