Mmiliki wa Efm Francis Ciza almaarufu "Majizzo", amewashukia Machawa wanaoishi kwa kutegemea kuwasifia watu wenye pesa mjini.
Kupitia mtandao wake Majizzo ameandika "Hapana, usiwe proud kuitwa ‘Chawa’. Labda kama kuna maana nyingine, lakini hii ya kwamba wewe ni mtu tegemezi na anayekula kwa kuwapa watu sifa za uongo, hapana. Naamini kwenye kuasaidiana, lazima tugawane hii riziki lakini sasa usichukulie kwamba wewe ndio chawa for life".
View attachment 2868202
Nini maoni yako?