Hapo nimekusoma mkuu,kama ni Mangi basi akili ya kutafuta hela ndio kwenyewe hapo.Sio dingi yake..ni prof Mangi mmoja hivi...ndio Kama hivyo akili mingi jamaa wanampa promo kama yao..huyo mzee ndio biashara zake za bar na clubs...sema viota vyake viko affiliated na wakuu siwezi Sema Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anaumwa nini hicho kama ni figo si angewekewa zingine au ndio dalili za kupona hazipo wanataka tu michangoHahaa ..wewe umejuaje kuwa ananizidi uwezo wa kiuchumi Au umekuwa mpiga ramli .... Naona ume panic bila shaka itakuwa ni zamaradi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kama wanaficha? Kweli anaumwa figo lkn naona bado hawajawa specific, unahitaji msaada kuwa mkweli na si kufichaficha. Hiyo milioni tano per day itakuwa inalipwa kwa mda gani? au kwani haiwezakani kupandikizwa figo nyingine ili kuepusha gharama manake mpaka sasa haifahamiki kinahitajika kiasi gani, zaidi ya kuambiwa zinahitajika 5m or 6m per day.
Naomba kusema hivi, wale GSM mall, makonda, wabunge,marafiki,zamaradi,ndugu wasanii wakijichanga hazitoshi mengine tumuachie Mungu tuMillion 600. Ipi ambayo amemudu haha hiyo ni pesa yake including michango ya wana ndugu jamaa na marafiki aise .... baada ya kuona kuwa matibabu ya jamaa yana wafilisi wakaona wausukumizie mfupa uliomshinda fisi kwa watanzania ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kushangaa mkuuNaomba kusema hivi, wale GSM mall, makonda, wabunge,marafiki,zamaradi,ndugu wasanii wakijichanga hazitoshi mengine tumuachie Mungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nashangaaFigo watu siwa wanauza tu mkuu ml.150 ...inakuwaje matibabu yafigo yafikie Ml.600 ..jiongeze aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza keshatumia Zaidi ya million 600
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuapia haitokuja kaa ikatokea huyu Dogo anajielewa sana....ingawa ni mzee wa vyupi but ni mjanja hatariii.