PostGE2025 MAJIZZO ni mswahili ambaye inabidi kutosikilizwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kila mtu ale alipopeleka mboga......
 
Hawa jamaa huwa ni wapuuzi sana.

Mfanyabiashara unamletea zarau mteja wakati ndio anakuweka mjini.

Warudi Tabora huku mapori ni mengi sana waje tulime, Zarau zao zimewaponza.
 
Majizzo ni MWEHU.
 
Binafsi nimefurahi na ninaendelea kufurahi kuona kina dada ndiyo wanamjibu Majizi oooh sorry Majizo huko mtandaoni!

Niliwachikulia poa madem wa nchi hii kumbe wakichafukwa wanakuwa wakali balaa!,Madem huko mtandaoni wanatema nondo balaa!
 

Hivi mtu anayepumuliwa kisogoni, anapataje uhalali wa kushawishi watanzania??? Mfumo wa kinyesi umeshadukuliwa tayari, dirisha halina nondo ....anamshawishi nani??? Labda anawashawishi Upinde wenzake ....!

Tunajua yeye ndiyo meneja wa Mario, Harmonize na wasanii wote wa Singeli nae anatafuta ugali wa familia yake, lakini kwa kuwa ni Upinde na Hana rinda basi tumpuuze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…